Kabla ya hapo Bw. Kichere alikuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo na pia amewahi kuwa Mhasibu wa TANROADS. Kufuatia uteuzi huo nafasi ya Naibu Kamishna Mkuu itajazwa baadae.
Kichere anachukua nafasi ya Alphayo Kidata aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Ikulu siku ya Alhamisi.

0 maoni :
Chapisha Maoni