Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesusiwa rasmi na Jukwaa la Wahariri kuandika habari zinazomhusu,
Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri, TEF, Neville Meena akizungumza na wanahabari Dar es Salaam Jana, kuhusu tamko la kususia kuandika Habari zinazomhusu RC Makonda.
Source: TEF
0 maoni :
Chapisha Maoni