Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

PAUL MAKONDA ATINGA OFISI YA MAADILI YA BUNGE














 
Heshima kwenu wakuu,
Napenda kuwajulisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo yuko mbele ya Kamati ya Maadili Haki na Madaraka ya Bunge.

Taarifa ya kamati itafikishwa kwenye Bunge zima na kusomwa.

Tuvute subira tujue mbivu na mbichi..
=====

Updates..

Mhe Makonda amewasili Bungeni na kupokelewa na Mkuu kitengo cha Habari-Bunge Owen Mwandumbya kuitikia wito wa Kamati ya Bunge.


Makonda.PNG 

Paul Makonda akipokelewa na Ndugu Owen Mwandumbya

Source: jamii Forum



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni