Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

KATIBU MKUU WA CUF MAALIM SEIF SHARIF KUTEMBELEA WILAYA 7 VISIWANI

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad aanza ziara rasmi



Image result for maalim seif images
Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma Mhe. SALIM BIMAN anawajulisha wananchi wote wa kisiwa cha Unguja kuwa Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad ataanza ziara ya Uimarishaji Chama katika wilaya zote saba (7) kisiwani Unguja, ziara inafuatiwa baada ya ziara iliyopata mafanikio Makubwa ya Kisiwani, Pemba.
Ziara hiyo itaambatana na ufunguaji wa ofisi mpya za Chama, kuweka waratibu wa Chama, kufungua matawi mapya, na kuwasikiliza wananchi na kutoa muelekeo na misimamo ya CUF kwa kipindi hichi.


SALIM BIMAN
Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni