Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

BREAKING NEWS: GAPCO GEREZANI DAR YABOMOLEWA




Kufuatia upanuzi unaoendelea Reli ya Kati kwa kiwango cha Standard Gauge, ubomoaji umekamata kasi,



Ni mtaa wa Gerezani.. Nyumba zote zilizopo karibu na reli zinabomolewa ili kupisha ujenzi wa reli ya kiwango cha kati unaotarajiwa kuanza hivi karibuni..

Miongoni mwa waathirika wakubwa ni pamoja na kituo cha Mafuta cha Gapco kama inavyoonekana pichani..

Bomoa1.jpg




Bomoa2.jpg


Source: Jamii Forum
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni