Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

CCM LUMUMBA NA UHURU PRINTERS WAKATIWE UMEME MARA MOJA "KATA"

"Msiogope mnapaswa kukata huduma hii kwa taasisi yoyote ambayo hailipi bili zake.Nataka kumwambia waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kwamba umeme unapaswa kukatwa hata Ikulu. Nikilala gizani, halafu maafisa wa Ikulu ambao hawajalipa watawajibika na sio wewe. Una hakikisho langu kwa hili". asema Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli


 Ofisi Ndogo za CCM za Lumumba Dar es Salaam pamoja na Uhuru Printers zinazomilikiwa na CCM yetu ni kati ya wadaiwa sugu wa Tanesco. Kufuatia agizo la Rais Magufuli la kukata umeme kwa mdaiwa yeyote na hata kuisha kwa Notisi ya siku 14 ya Tanesco, maafisa wa Tanesco wanakuja hapa kuuliza kama wakate umeme.

Inashangaza kuona Tanesco wakija kuuliza kama wakate au la wakati kwingineko wakipeleka mikwara ya haja. Uhuru Printers inadaiwa mamilioni ya shilingi kama malipo ya umeme. Lakini, Tanesco wanaburuza miguu kuchukua hatua. Rais alisema: KATA!

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam


Source : Jamii Forum


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni