Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

SAUTI YA SAIS MRISHO ALIYETOBOLEWA MACHO NA SCORPION BAADA YA KUMTELEKEZA MKEWE

SAID Mrisho aliyetobolewa macho na scopion Buguruni afunguka mikasa inayo tokea na mke wake LIVE CLOUDS FM.
saidi aeleza kuwa familia yake haimkubali mke wake huyo ambaye alizaa naye kutokana na tabia zake pia amesema kuwa amekuwa na mahusiano nae kwa miaka 10. kaeleza kuwa mke wake mpya anamahusiano naye kwa miaka 20 ila hakuwa akiwa naye sana kwasababu anaishi nje ya nchi.
saidi anaeleza zaidi......

Ni kweli nimeachana na mke wangu ambaye nimefunga nae ndoa hivi karibuni baada ya kupata matatizo, ila sijatelekeza familia, na hii ndoa nimefunga kutokana na shinikizo kutoka kwa wazazi wa mke wangu ili tukiachana tuweze kugawana vifaa vilivyokuja (mali). Japokuwa tumeachana lakini nimempangia nyumba na namsaidia kwasababu nina familia nae. Kwa sasa nimeoa mke mwingine." #SaidMrisho
SAID AFUNGUKA KUSALITIWA. "Mke wangu nimemuacha sababu ya tabia zake mwanzoni nikiwa naona alikuwa akinisaliti lakini hata sasa anaendelea kunisaliti.
Siku moja aliniomba simu akaniambia anaomba simu ampigie mtu aliyemkopesha Pesa hospitali.
Nilimpatia simu mama dee na akatoka lakini alichelewa kurudi nikamuuliza vipi akasema alikuwa hapatikani lakini baadaye nikabonyeza button ya kupiga. Nilipopiga simu akapokea mwanaume mwingine nikamuuliza vipi akaniambia huyu ni mke wake kivipi wakati ni mke wangu mimi.
Japokuwa nimepata zile bajaji huwezi kuamini navyonyanyasika kwenye familia yao hata hesabu za siku hawaleti." -#SaidBabaDee on #LeoTena
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni