Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

RADIO FREE AFRICA YAFUNGIWA NA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA)

Mamlaka ya mapato Tanzania inadaiwa kuifungia Radio Free Africa ya Mwanza inayomilikiwa na Antony Dialo kutokana na kudaiwa kodi kubwa.
Image result for dr anthony mwandu diallo images TRA wamewaondoa studio wafanyakazi wote na kuifunga radio hiyo. Kwa sasa ukiwasha radio utasikia matangazo ya kiingereza ya BBC.
Diallo ni mwenyekiti wa CCM mwanza na anadaiwa mamilioni ya kodi na TRA miaka mingi.
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni