Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

JOKATE URBAN MWIGELO (KIDOTI} AULA UVCCM

Hatimae yule mwana mitindo, muigizaji, mwanamziki na mjasiriamali amekabidhiwa rasmi nafasi muhimu ndani ya UVCCM kwani kawa ndo mtu wa pili baada ya kaimu katibu mkuu wa sasa, Nyaraka nyingi za UVCCM hasa kipindi hiki cha uchaguzi zimekuwa zinatolewa na binti huyo, hivyo kuonekana kukabidhiwa mikoba ya UVCCM.
Miongoni mwa nyaraka hizo hi hii ya Uchaguzi wa UVCCM ngazi ya Taifa aliyetoa tangazo hilo ni mrembwende huyo kwa niaba ya katibu mkuu wa UVCCM

Hali hii imewasikitisha sana vijana wazoefu ndani ya UVCCM kwanini binti huyo akabidhiwe mikoba muhimu wakati hajakipigania chama katika ngazi yoyote ili hali wao walikesha ktk mitandao ya jamii kujitahidi kukitetea chama wakati kikipitia wakati mgumu hasa wakati wa uchaguzi mkuu wa 2015.
[​IMG]
[​IMG]
[​IMG][​IMG][​IMG] upload_2017-7-11_10-24-17.jpeg [​IMG][​IMG][​IMG]
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni