Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

WAZIRI ANAJIPENDEKEZA KWA RAIS "TUNDU LISSU"

Video ya Tundu Lissu Raisi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Law Society TLS Mhe. Tundu Lissu amesema aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Dr Harrison Mwakyembe alikuwa anajipendekeza kwa Raisi John Pombe Magufuli .Pia Lissu ameongelea hoja ya kumvua uanachama wa TLS Dr Harrison Mwakyembe ambayo iliwasilishwa na kujadiliwa kwenye mkutano mkuu wa TLS uliofanyika March 18.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni