Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

NAPE NA KITWANGA WAANZA KUICHAPA CCM, MSUKUMA AJIBU MAPIGO

Mbunge Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma amewaponda mawaziri waliotumbuliwa na Magufuli Nape Nnauye na Charles Kitwanga kwa kuiponda serikali baada ya kutolewa kwenye uwaziri na kumtaka waziri wa elimu ahakiki vyeti vyao. Amemshangaa Kitwanga kwa kusema sasa ameondoka kwenye uwaziri na ataanza kuisema serikali akiuliza kwenye baraza la mawaziri wanaambiwa nini. Amemponda kauli ya kitwanga ya ku mobilize wananchi 10,000 kuharibu mtambo wa maji na kuhoji vyeti vyake vipi? Kuhusu kauli ya Nape kusema CCM haitarudishwa endapo haitatekeleza bajeti ya maji amesema sio kwdeli kwa kuwa miaka mingi hawatekelezi ilani na wanachaguliwa na wananchi hawawategemei kwa maji tu na bado muda upo Pia amesema hela ya bajeti ya maji ni nyingi iwapo itatoka yote. amesema bajeti liyopita ilipangwa kutolewa bilioni 915 lakini mpaka leo ni 181 tu ndio imetoka
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni