Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MHE NAPE AFANYA VITU VYAKE JIMBONI, ANGEKUWA WAZIRI ASINGEWEZA KUFANYA



  [​IMG][​IMG]Mbunge wa Mtama kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ametoa gari jipya la kubeba wagonjwa kwa wananchi wa Jimboni kwake Mtama. Ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi alizotoa wakati wa uchaguzi.

"Niliahidi nimetekeleza, gari jipya la wagonjwa kwa Tarafa ya Nyangamara Jimboni Mtama". ameandika Nape katika ukurasa wake wa Twitter.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni