Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MEYA WA MANISPAA YA MOSHI RAYMOND MBOYA ATOLEWA KWENYE MKUTANO WA RAIS NA ASKOFU

Meya wa Manispaa ya Moshi Raymond Mboya amesema kuwa haelewi lilikotoka agizo la kuzuiwa kwake kuingia kwenye kikao cha Rais Magufuli licha ya kuambiwa alihitajika kuhudhuria kikao hicho baada ya kualikwa na Mkurugenzi. Meya Raymond Mboya na Mbunge wa Moshi Mjini Japhary Michael walizuiwa kuhudhuria kwenye kikao cha JPM na viongozi wa dini alichokifanya mjini Moshi wakati wa ziara ya siku 3 katika Mkoa wa Kilimanjaro. Ayo TV na millardayo.com imempata Meya Raymond Mboya ambaye pamoja na mambo mengine ameeleza namna ilivyokuwa siku hiyo. Nimekuwekea full video, bonyeza play kutazama hapa chini…
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni