Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

HALIMA ANUSURIKA BUNGE LA BAJETI " UTETEZI TOKA BUNGENI"

Kupitia vikao vya Bunge la Bajeti linaloendelea Makao Makuu Dodoma, leo May 2, 2017 Wabunge wa pande zote bila kujali itikadi za vyama vyao, wamemwomba Spika kutoa msamaha kwa Mbunge Halima Mdee aliyepewa adhabu ya kutohudhuria vikao vya Bunge la Bajeti vilivyobakia. Baada ya Wabunge kwa umoja wao kuomba kiti cha Spika kutompa adhabu hiyo Halima Mdee ambaye ni Mbunge wa Kawe kupitia CHADEMA, Bunge limetangaza kumsamehe na ataendelea na vikao kwa sharti la kutorudia tena kosa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni