Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

AJALI NYINGINE ARUSHA YAUA WATU 5 KWA KUANGUKIWA NA MTI


Watu watano wamefariki dunia mkoani Arusha baada ya kuangukiwa na mti.Mti huo ulianguka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

Mungu azilaze roho za marehemu pema peponi.
-----
Wamepitishwa hapa kimandolu kama saa nne hivi. Baba ni mlinzi amerudi asubuhi hii hakuwa na hiyo taarifa. Kulikuwa na gari inamsubiri hapa kituoni Kimandolu, alivyoshuka kwenye daladala tu wakamchukua na kuelekea nae hospitali, watu wamemwombolezea sana kwa hiyo surprise.

Arus.jpeg
Aru.jpeg
Ar.jpeg
 Chanzo: ITV
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni