Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

VIDEO: VIONGOZI WAKUU WALIVYOSHIRIKI KUAGA MWILI WA DR MACHA

VIDEO: Viongozi wakuu walivyoshiriki kuaga mwili wa Dr. Macha Bungeni Taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu Balozi Kijazi zinasema Rais John P. Magufuli amemteua aliyekuwa Kamishna Msaidizi wa Uchimbaji Mdogo, Mhandisi Benjamin Mchwampaka kuwa Kamishna Mkuu wa Madini. Wakati huo huo Rais amemteua Adelarnus Kilangi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli(Petrolium Upstream Regulatory Authority - PURA).
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 maoni :

  1. Ninasubiri maoni yenu wasomaji wa blog yangu ya blessnews

    JibuFuta