Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

UFISADI WA KUTISHA CCM WA BILION 19 MWENYEKITI WA CCM WAZAZI MWANZA AHUSIKA

Watanzania tumekuwa tunahubiriwa na viongozi wa CCM kuwa mafisadi wapo vyama vya upinzani. Kwa maana kuwa CCM ni Wasafi sana.Mungu ni wa wote tunamshukuru ametuonyesha kuwa Ufisadi chimbuko lake ni CCM.


Mwenyekiti wa wazazi mkoa wa Mwanza Ndugu Malila Lugoye anatuhumiwa kukomba Bilioni 18.9 pekee yake huku akiwaacha wapiga kura na wananchi wa Mwanza wakiwa maskini hiyo ndio CCM mpya. 


upload_2017-4-28_8-1-53.jpeg 
Gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM, limeandika hiyo taarifa.
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni