Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MAUAJI YA KUTISHA GEITA BUKOLI NYUMBA YA WAGENI

Tukio hili la kuhuzunisha limetokea leo katika kata ya Bukoli jimbo la Busanda mkoani Geita.Katika hali isiyotarajiwa watu wasiojulikana waliingia nyumba ya kulala wageni kisha wakaagiza bia wakanywa baada ya kumaliza kulewa walitekeleza mauaji hayo.Sababu ya kutokea kwa tukio hilo bado haijajulikana na mpaka sasa wananchi wapo katika wasiwasi mkubwa.
 
https://www.jamiiforums.com/attachments/20170424_100702-jpeg.500663/
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni