Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

KAMBAYA WA CUF LIPUMBA MBARONI MWA POLISI KUFUATIA KUPIGWA WAANDISHI WA HABARI


 Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa CUF ametiwa mbaroni pamoja na watu wengine saba kufuatia vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa waandishi na mwenyekiti wa CUF wa kinondoni iliyopelekea waandishi kupigwa na kuumizwa na watu waliodhaniwa kutoka kundi la Lipumba 

 
 Kambaya wa CUF-LIPUMBA atiwa mbaroni, source mwananchi online
baada ya tukio la kuvamia mkutano halali wa CUF uliofanyika mabibo chini ya mwenyekiti wa wilaya, ambapo wafuasi wa CUF na waandishi wa habari walipigwa na kudhalilishwa.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Simon Sirro amesema upelelezi umekamilika na jalada limeshapelekwa kwa wakili wa serikali

Source: Mwananchi online 


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni