Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

IONE VIDEO YA MBOWE AKIELEZA UBABE ULIOTUMIKA KWENYE UCHAGUZI EALA NA KUSUDIO LA KWENDA MAHAKAMANI

Baada ya Wagombea waliopendekezwa na CHADEMA Wenje Na Masha kupigiwa kura nyingi sana za HAPANA kuwania kuiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki Mbowe ameibuka na kuongea na wanahabari na kusema kuwa wanapinga matokeo hayo, na wanajiandaa kufungua kesi mahakamani kupinga matokeo hayo!
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni