Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

HOETL YA KIFAHARI YACHOMWA MOTO

Hoteli ya kifahari yachomwa moto Kenya,kufuatia vita baina ya wafugaji na wawekezaji,

Hoteli ya kifahari yachomwa moto Kenya
                                                          Hoteli ya kifahari yachomwa moto Kenya

Hoteli moja ya kifahari nchini Kenya, inayomilikiwa na raia wa Italia na mwandishi wa vitabu Kuki Gallmann, imechomwa moto na watu wanaokisiwa kuwa wafugaji.
Hilo ndilo shambulizi la hivi punde katika eneo hilo linalokumbwa na ukame la Laikipia, kutoka kwa watu wanaikisiwa kuwa wafugaji ambao wanavamia mashamba ya kibinafsi wakitafuta malisho.
Hakukuwa na wageni ndani ya hoteli hiyo ya Mukutan wakati ilichomwa.
Huenda shambulizi hilo ni la kulipiza kisasi oparesheni ya polisi, ripoti zinasema.

Source: Jamii Forum

 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni