Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo akiongea na wahusijka
wa Kampuni ya Kajala Entertainment wakati alipofanya nao mkutano leo
ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapa Sheria na Kanuni
zilizokiukwa katika filamu ya Mbwa Mwitu.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Kajala Entertainment, Kajala Masanja akijitetea
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni :
Chapisha Maoni