Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

AFISA HABARI SIMBA HAJI MANARA ATOA MSIMAMO WA POINTI 3 DHIDI YA KAGERA SUGAR

VIDEO: Msimamo wa Simba uliyotolewa leo kuhusu point 3 vs Kagera Sugar Siku moja baada ya kamati ya haki na hadhi za wachezaji kukaa kikao na kujadili mambo mbalimbali ikiwemo suala la Simba kupewa point tatu dhidi ya Kagera Sugar kwa madai ya kumchezesha mchezaji Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano, leo Simba wametoa msimamo wao juu ya suala hilo. Simba kupitia kwa afisa habari wao Haji Manara wametoa msimamo wao kuhusiana na suala hilo baada ya kuona kamati ya haki za hadhi za wachezaji inapindisha mambo ikiwemo taratibu kwa mujibu wa Haji Manara, kucheleweshwa kutolewa maamuzi kumezidi kuzua hofu kwa mashabiki wa soka.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni