Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

URUSI KUISHAMBULIA ISRAEL KWA MAKOMBORA YA SCUD


Syria imetuma ujumbe mzito kwa Israeli kupitia Urusi kwamba makombora ya Scud yatarushwa kuelekea Israel iwapo nchi hiyo itaendelea na mashambulizi yake ya anga ndani ya Syria. images.jpg
Ujumbe huo unaeleza kwamba shambulio lolote litakalofanywa na Israeli dhidi ya Syria litajibiwa vikali kwa mashambulizi ya makombora ya Scud kulenga ngome za jeshi la Israeli, miundombinu pamoja na maeneo ya raia.
images-1.jpg
Onyo hilo limetolewa baada ya mashambulizi kadhaaa yaliyofanywa na jeshi la anga la Israel kwenye maeneo kadhaa ndani ya Syria yakilenga silaha zinazohisiwa kusafirishwa kwenda kwa kundi la Hezbollah lenye mahusiano na Iran. download.jpg

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni