Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

TRUMP AMWAGA JESHI SOMALIA KUTEKETEZA AL SHABAB


Trump aongeza mashambulizi zaidi dhidi ya Al Shabab

Trump anataja hatua hii kama chachu ya kuwamaliza wanamgambo hao haraka
Trump anataja hatua hii kama chachu ya kuwamaliza wanamgambo hao haraka

Rais wa Marekani Donald Trump ameliruhusu jeshi la nchi hiyo kuongeza mashambulizi zaidi nchini Somalia kwa ajili ya kupambana na wanamgambo wa Al Shabab.
Hii italifanya jeshi la Marekani kutumia nguvu zaidi sambamba na vifaa vya kisasa kupambana na wana mgambo hao, huku pia wakitoa usaidizi wa karibu kwa jeshi la Somalia.
Inatarajiwa idadi kubwa ya wanajeshi wa Marekani wataelekea nchini Somalia kwa ajili ya operesheni hii.
Al Shabab wameendelea kufanya mashambulizi yanayosababisha vifo kila kukicha nchini Somalia na hata katika nchi jirani ya 

Kenya.SWAHILI BBC
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni