Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

NI KIINI MACHO, AU?





 
Hii ni moja ya magari ambayo tumeambiwa yameingia kwa kufichwa kwenye makontena yaliyodaiwa yana nguo za mitumba. Definately gari hii inaweza kuwa imetokea Japan maana ndipo kwenye soko kubwa la biashara za magari hasa kwa nchi za Afrika. Lakini jambo la ajabu gari hii imetoka Japan ikiwa na namba za Zanzibar. . Asanteni maafisa bandari. Siku nyingine mkitengeneza sinema mkumbuke kubandua plate number.! 

tmp_24745-FB_IMG_1490329870306-1167766776.jpg 
Source: Jamii forum


Mhe Rais, Dkt  John Pombe Magufuli alipotembelea Bandarini Dar, na kujionea namna waagizaji wanavyodanganya,


 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni