Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

KANISA LA VIZIWI LANZISHWA TANZANIA


Nchini Tanzania takwimu za serikali zinaonyesha kuwa watu wasiosikia ni zaidi ya laki sita

 Kanisa la viziwi laanzishwa Tanzania

Nchini Tanzania takwimu za serikali zinaonesha kuwa watu wasiosikia zaidi ya laki sita, Lugha ya ishara ndio njia ya masiliano kwa wao. Kutotumika lugha hiyo ya ishara katika taasisi mbalimbali imewafanya viziwi kujiona wanatengwa na hivyo kuamua kuanzisha kanisa lao. Mwandishi Humphrey Mgonja alihudhuria ibada na kutuandalia taarifa hii.

Source:Jamii Forum

 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni