Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MWILI WA HUSNA ISSA ABDALLAH UMEWASILI NCHINI TANZANIA

Assalam

Mwili wa husna Issa Abdallah ukiwa umewasili nchini Tanzania na sasa upo kondoa mazishi ni leo.

Pembeni mwa jeneza ni Husna enzi za uhai wake
























































 Husna alikusukumwa na boss wake toka gorofani jambo lilosababsha umauti wake.
Hadi sasa serikali na ubalozi wa Tanzania nchini oman hakuna taarifa walotoa..

Watanzania wengi wamekuwa wakikutwa na majanga ya manyanyaso na hata kuuwawa had sasa serikali imeacha raia wake wanangamia.

Natamani kuskia serikali ikipinga manyanyaso ya raia wao nje ya nchi na kuuwawa.

Natamani Serikali ingilie kati suala hili

Source: Jamii Forum

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 maoni :

  1. Kwa nini serikalii haizuii hili zoezi la watu wake kupelekwa utumwani?

    JibuFuta