Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

"MWAKYEMBE KUBWAGA MANYANGA" JAMII FORUM


Mwakyembe aiona nafasi aliyoteuliwa kama kushushwa cheo kitaaluma,



Habari za ndani zenye uhakika zaidi kutoka kwa Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Harryson Mwakyembe kuikataa nafasi ya Waziri wa habari na Michezo aliyoteuliwa siku ya leo.

Chanzo cha uhakika kinasema kuwa tangu Rais kubadili msimamo wa tamko la vyeti, Dkt Mwakyembe amekuwa hana raha kabisa inategemewa muda wowote kuanzia sasa atawasilisha barua ya kujiuzulu nafasi ya Waziri wa Katiba na sheria na kubakia kuwa mbunge wa kawaida.

Unaambiwa amezima Simu zote hazipatikani muda huu chanzo chetu kinasema Mwakyembe amekasirika Kwa kitendo hiki kilichotokea kwake ni demotion.

Source: Jamii forum
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni