Kufuatia vurugu zinazoendelea katika mpaka wa Namanga, kuna hati hati mpaka kufungwa kwa muda kupisha hizo vurugu,
Wakuu, Ni kweli kuwa kwa sasa pale mpakani Namanga umefungwa, wakenya wamegoma na wamefunga mpaka sababu ni serikali ya Tanzania pale mpakani kuwanyanyasa wakenya wanaoishi mpakani pande za Tanzania.
Wikiendi hii waliwashika wakenya 12 na kuwafungia.
Watu wanaandamana na tangu asubuhi hakuna gari wala mtu anayevuka mpaka
0 maoni :
Chapisha Maoni