Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MJUE JAMES DELICIOUS ANAYESHIKILIWA POLISI KWA AMRI YA KIGWANGALA



Kufuatia kukamatwa kwa James Delicious na kuwataja wanaume zaidi ya 100 wakiwepo wakubwa,

802b20047696ccf4c8d86ebf60d901c0.jpg

Habari za hivi punde ni kwamba kijana maarufu mtandaoni na hapa jijini Dar, 'James Delicious' anashikiliwa na kituo cha polisi Osterbay toka Jumamosi kwa amri ya Kigwangalla.

Ikumbukwe kuwa Waziri Kigwangalla akiwa Bungeni aliamuru kukamatwa kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja wanaojiuza mitandaoni na kumtaja James akitaka akamatwe mara moja.

Rejea uzi huu >>>DODOMA: Kigwangalla aagiza kukamatwa kwa Kijana maarufu mitandaoni kwa ushoga, James Delicious

Mpaka sasa anahojiwa na ametaja list ya wapenzi wake zaidi ya 100 ikiwemo viongozi wakubwa wa nchi.

Swali: Je, Kigwangalla atawaja hadharani?
Source: Jamii Forum
 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni