Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MBOWE MATATANI TENA; ALIPISHWA FAINI YA SHS 1.5 KESI YAFUTWA!!


Kesi ya jinai iliyokuwa ikimkabili mbunge wa jimbo la Hai kwa tiketi ya Chadema imefutwa baada ya mahakama ya Ilala baada ya mshtakiwa huyo kulipa fidia..

Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imempiga faini ya Sh 1.5milioni Mwenyekiti huyo bwana  Freeman Mbowe baada ya kukiri shtaka linalowakabil.

Mbowe na mkewe Dk Lilian Mtei na Meneja wa Bilicanas wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kushindwa kutumia mashine ya Kielektroni ya EFDs.

Kutokana na uamuzi huo,  Wakili kutoka TRA Marcel Busegano aliomba Mahakama hiyo kuondoa mashtaka hayo mahakamani hapo baada ya washtakiwa hao kukiri na kulipa fidia hiyo.

Source: www.tanzaniampyamatukio.blogspot.com
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni