Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

CLOUDS MEDIA GROUP YAKANUSHA

  Kufuatia taarifaa zinazosambaa kwenye mitandao ya jamii ni kwamba,

Kuna taarifa ya kizushi zinazosambazwa kwamba Clouds Media Group inadaiwa malimbikizo ya kodi na wamepokea notisi kutoka Mamlaka ya Mapato TRA na inatakiwa kulipa malimbikizo hayo.

Taarifa hizo ni uzushi mtupu tunaomba zipuuzwe.
#TunakufunguliaDuniaKuwaUnachotaka

[​IMG]
 

Source: Jamii Forum

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni