Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

KOMBA KATUNGA KAWIMBO YEYE KATOROKA KAACHIA WENGINE HAWA HAPA

Mshahara wa Usaliti ni Usaliti


Ridhiwani, Nape, Msukuma, Vicky Kamata, Dalali Kafumu, the Sepetus, Kitwanga....ongezea wengine...

Najaribu kurudisha picha ya jinsi mlivyokuwa mkimnadi mgombea wa CCM, halafu na sasa hivi yaliyowapata.... ushauri wangu kwenu ni kuwa chakula mlichojipakulia hakikisheni mnakila na kukimaliza. Mwenzenu Komba alitunga kawimbo katamu ka karne halafu kama alistuka vile akatoroka zake...maana kukaimba katamu sana ila kukacheza sasa...

Ukipanda usaliti, utavuna usaliti... mlisaliti mioyo yenu kwa kushabikia msichokiamini kwa dhati, kwa sasa msiendeleze usaliti...

Endeleeni kumuunga mkono JPM kama mlivyofanya kwenye kampeni.

Hongereni ndugu zangu kwa kupewa mshahara wenu mapema, namwonea huruma Makonda...maana yeye ndio hataamini kitakachompata kwa JPM. Ndio atajua kuwa JPM has got no permanent friends...

Haya mods nawaona mnasubiri kuunganisha uzi...

Wakuu mods wasipounga huu uzi, basi naomba mwongeze majina hapa ya waanga wa mafuriko ya MagufuTsunami...ili tutoe rambirambi zetu.

"tumeipenda wenyewe, tantara, chaguo letu wenyewe..."


Source: Jamii Forum
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni