WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AAGIZA TAKUKURU KUWAKAMATA WATENDAJI 12 WA HALMASHAURI YA MBEYA PAMOJA NA ALIYEKUWA MSTAHIKI MEYA ATHANAS KAPUGA KWA KUISABABISHIA HASARA YA BIL. 63 Julai 31, 2017 Ongeza maoni Edit Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) iwakamate watendaji 12 wa Halmashauri ya Jiji la M... Read More
MWENYEKITI WA KIJIJI CHALINZE APEWA SHATI NA MHE. J MAKAMBA BAADA YA KUMWONA AMEVAA SHATI LILILOCHANIKA ISHARA YA UMASKINI ULIOKITHIRI Julai 31, 2017 Oni 1 Edit Katika hali inayoonyesha umasikini mkali unalikabili taifa,Mwenyekiti wa Kijiji huko Chalinze alikutana na Waziri January Makamba hali ya ku... Read More
LISSU KUONGOZA JOPO LA MAWAKILI 29 KUMTETEA FATUMA KARUME KATIKA MADAI YAKE YA BILIONI MOJA KWA POLISI ALIYEMSHIKA BILA RIDHAA YAKE Julai 31, 2017 Ongeza maoni Edit Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Kar... Read More
MHE. SPIKA NDUGAI AKIRI KUPOKEA BARUA KUTOKA KWA LIPUMBA NA MHE SAKAYA KUHUSU KUFUKUZWA UANACHAMA WABUNGE WANANE NA MADIWANI WAWILI Julai 25, 2017 Ongeza maoni Edit Spika wa Bunge, Job Ndugai athibitisha kupokea barua ya kuvuliwa uanachama Wabunge 8 wa CUF. Amesema k... Read More
MKURUGENZI WA THRDC AHOJIWA KUHUSU URAIA WAKE NA MAAFISA WA UHAMIAJI, LABDA KUNA MAHUSIANO NA MADAI YALIYOKUSUDIWA KUFUNGULIWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI LIKIWEMO BUNGE LIVE Julai 25, 2017 Ongeza maoni Edit Leo, tarehe 24, Julai 2017, askari wa uhamiaji kutoka wilaya ya Kinondoni wamewasili ofisi ya THRDC (Tanzania Human Rights Defenders Coalit... Read More
MADAI 7 LIKIWEMO BUNGE LIVE KUTINGA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI KUPITIA THRDC Julai 25, 2017 Ongeza maoni Edit Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania (THRDC) umeazimia kufungua kesi katika mahakama y... Read More
ACACIA YAKIRI KUPOKEA MAKADIRIO YA MALIMBIKIZO YA KODI INAYODAIWA YA TSHS TRILIONI 425.4 TOKA TRA Julai 25, 2017 Ongeza maoni Edit Leo kampuni ya ACACIA imepokea makadirio ya kodi ambazo hazijalipwa zilizotokana na ripoti za kamati za Rais kuhusiana na makinikia. TRA... Read More
SHEHE AMBAKA MSICHANA WA MIAKA 17 MSIKITINI Julai 24, 2017 Ongeza maoni Edit Azam News walifika nyumbani kwa wazazi wa mtoto huyo na baba wa mtoto huyo akaiomba serikali imsaidie kwa hali na mali na kuelezea alivyosha... Read More
KUDADADEKI :LISSU ATINGA KORTINI NA FULANA YA UKUTA, Julai 24, 2017 Ongeza maoni Edit Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, na Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu, akipelekwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu muda huu. ... Read More
WALIOVULIWA UBUNGE NA UDIWANI NA LIPUMBA KWENDA KUWEKA PINGAMIZI MAHAKAMANI Julai 24, 2017 Ongeza maoni Edit DAR: Baraza Kuu la Uongozi CUF(Linalomuunga Mkono Prof. Ibrahim Lipumba), limewavua uanachama Wabunge 8 wa Viti Maalum na Madiwani 2 wa cham... Read More
MSICHANA PEKEE WA MIAKA 11 AKUTWA AMENYONGWA BAADA YA KUBAKWA DAR ES SALAAM Julai 24, 2017 Ongeza maoni Edit Mtoto wa miaka 11 (jina tunalo) amekutwa amekufa katika mazingira ya kutatanisha huku kukiwa na madai kwamba alibakwa kisha akanyongwa. ... Read More
ONA GRADUATE MMACHINGA ALIYEAMUA KUVAA JOHO NA KUANZA KUUZA PIPI BAADA YA KUKOSA AJIRA MIAKA KADHAA Julai 21, 2017 Ongeza maoni Edit Imepita miaka kadhaa tangu Graduate huyu kule Zimbabwe aamue kuandamana kupeleka ujumbe kwa Serikali yao kuhusu Ajira. Jamaa alikuwa ni ... Read More
MAMAKE ZARI AFARIKI DUNIA MIEZI 2 BAADA YA KUMZIKA IVAN SSEMWANGA X-HUSBAND Julai 20, 2017 Ongeza maoni Edit Mamake Zari Hassan aaga dunia Saa moja iliyopita ... Read More
MAAJABU YA DEMOKRASIA, MKUU WA MKOA SONGWE AAMURU BENDERA ZA CHADEMA KUSHUSHWA KUPISHA ZIARA YA WAZIRI MKUU Julai 20, 2017 Ongeza maoni Edit Habari iliotufikia hivi punde ni kwamba bendera za CHADEMA wilayani Tunduma zimeshushwa na jeshi ... Read More
DAWA YA UKIMWI YAGUNDULIWA ISRAEL INA UWEZO WA KUTIBU ASILIMIA 97 Julai 19, 2017 Ongeza maoni Edit MAMILIONI ya watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) ulimwenguni, sas... Read More
MTUME NA NABII JOSEPHAT MWINGIRA WA KANISA LA EFATA KUPIMA DNA KWA AMRI YA MAHAKAMA Julai 19, 2017 Ongeza maoni Edit Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeombwa kumwamuru Mchungaji Josephat Mwingira akapime kipimo cha kubaini vinasaba (DNA) ili kujua baba ha... Read More
VIGOGO WA TFF WAENDELEA KUSOTA RUMANDE HADI JULAI 31, 2017 Julai 17, 2017 Ongeza maoni Edit Mahakama ya Kisutu imewarudisha rumande Rais wa TFF, Jamal Malinzi na maofisa wawili wa shirikisho hilo, kufikishwa tena kortini Julai 31. ... Read More
RAIS MSTAAFU AWASILI KWENYE MSIBA WA MKEWE NA WAZIRI MWAKYEMBE Julai 17, 2017 Ongeza maoni Edit Rais Mstaafu, amewasili nyumbani kwa Waziri Mwakyembe ili kutoa pole kwa msiba wa mke wake uliotokea Julai 15 usiku. ... Read More
JPM AFANYA TEUZI MPYA 3 WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI Julai 14, 2017 Ongeza maoni Edit Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemteua Bibi Mary Gasper Makondo kuwa Kamishna wa Ardhi. ... Read More
MAHAKAMA YAMKATALIA HARBINDER SINGH KWENDA KUTIBIWA NJE YA NCHI, WAAGIZA ATIBIWE MUHIMBILI Julai 14, 2017 Ongeza maoni Edit Mawakili wanaomtetea mfanyabiashara Harbinder Singh Seth wameiomba Mahakama imruhusu mteja wao a... Read More
JIONEE SIMBA AKUTWA AKINYONYESHA MTOTO WA CHUI NCHINI TANZANIA Julai 14, 2017 Ongeza maoni Edit Mwana wa chui hawezi kubadili madoa doa katika ngozi yake lakini simba huyo hajali hil... Read More
MKUU WA WILAYA YA HAI ADAI KWANINI ASHTAKIWE MWENYEWE? Julai 14, 2017 Ongeza maoni Edit Huyu mkuu wa Wilaya ya Hai alienda kuharibu shamba la mbunge wa Hai Mhe. Mbowe tena aliliharibu kwa mbwembwe mbele ya Camera za Video, Sasa ... Read More
MHE MBOWE AIBUKA KIDEDEA BAADA YA MAHAKAMA KUU KURUHUSU KILIMO Julai 14, 2017 Ongeza maoni Edit Mahakama kuu masijala ya Moshi (Moshi Registry), imeruhusu shughuli za kilimo kuendelea kwenye shamba la kampuni ya Kilimanjaro Veggies ina... Read More
KAMANDA MPINGA ATEULIWA MKUU WA POLISI (RPC) MBEYA Julai 13, 2017 Ongeza maoni Edit Aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga ateuliwa kuwa Kamanda wa Polisi(RPC) wa Mkoa wa Mbeya. ... Read More
SAUTI YA SAIS MRISHO ALIYETOBOLEWA MACHO NA SCORPION BAADA YA KUMTELEKEZA MKEWE Julai 13, 2017 Ongeza maoni Edit SAID Mrisho aliyetobolewa macho na scopion Buguruni afunguka mikasa inayo tokea na mke wake LIVE CLOUDS FM. saidi aeleza kuwa familia yake ... Read More
MAAJABU YA DUNIA BAHARI MBILI TOFAUTI ZIMESHINDWA KUCHANGANYIKA SABABU TOFAUTI YA CHUMVI "UTAFITI" Julai 13, 2017 Ongeza maoni Edit GHUBA YA ALASKA BAHARI ZINAPOKUTANA BILA MAJI KUCHANGANYIKA Ghuba ya Alaska hapa ndipo mahali ambapo bahari mbili zinakutana lakin... Read More
RADIO FREE AFRICA YAFUNGIWA NA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) Julai 13, 2017 Ongeza maoni Edit Mamlaka ya mapato Tanzania inadaiwa kuifungia Radio Free Africa ya Mwanza inayomilikiwa na Antony ... Read More
WATUHUMIWA WA KUHUJUMU UCHUMI TRA MASAMAKI NA WENZAKE 5 WAACHIWA HURU NA MAHAKAMA Julai 13, 2017 Ongeza maoni Edit Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru aliyekuwa Kamishna wa TRA, Tiagi Masamaki na Wenzake watano waliokuwa wakishta... Read More
BALOZI JUMA V. MWAPACHU ASTAAFU BODI YA UKURUGENZI YA ACACIA Julai 13, 2017 Ongeza maoni Edit Kustaafu nafasi ya Mkurugenzi asiye Mtendaji Acacia inatangaza kwamba kufuatia kuisha kwa vipindi vyake viwili vya miaka mitatu, Balozi ... Read More
WYANE ROONEY APOKELEWA NA WAZIRI WA MICHEZO MHE. MWAKYEMBE Julai 12, 2017 Ongeza maoni Edit Waziri Mwakyembe amejitokeza kumlaki Mwanamichezo Wyane Rooney.ambaye ni mwanasoka wa Timu ya everton iliyopo nchini kwa ziara ya maandalizi... Read More
MJUE TYNDALE ALIYEUAWA KWA KUTAFSIRI BIBLIA KWA KIINGEREZA, LAKINI NA KAHABA ALIYETAJWA KWENYE BIBLIA UFUNUO 17 Julai 11, 2017 Ongeza maoni Edit Mwanamke (yule Babeli) wa Ufunuo 17 anaelezwa kuwa “alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na k... Read More