Imepita miaka kadhaa tangu Graduate huyu kule Zimbabwe aamue kuandamana kupeleka ujumbe kwa Serikali yao kuhusu Ajira.
Jamaa alikuwa ni machinga kweli ila aliamua kuvaa Joho kabisa.
Hii picha ililetaga mijadala mikari sana Ulimwenguni kote na kila mtu alikuwa na Maoni yake.
![[IMG]](http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/8dc23864635b651c93256883a857b4a6.jpg)
0 maoni :
Chapisha Maoni