Nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Dkt.Amini Uronu yachomwa moto usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana, Tumaini Uronu mtoto wa Dkt.Amini athibitisha.
"Mzee na Mama wote wamelazwa Mt.Joseph, Mzee kapata madhara kiasi katika maeneo ya miguu na mikono". Alisema Mtoto wa Dkt.Amini Uronu. Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Dkt Amin Uronu kushoto
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni :
Chapisha Maoni