Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam jana aligawa Mchele, Sukari na Mafuta kama zawadi katika kwenye kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa Maimamu 500 ambapo kila mmoja alipata kilo 25 za mchele, kilo 20 za sukari na lita 10 za mafuta ya kupika
 |
Mkuu
wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda, leo alipokutana na Maimamu 500 wa Dini
ya Kiisilam hapa mjini Dar katika Ukumbi wa Manispaa ya Ilala Mnazi
Mmoja, na kuwakabidhi kila mmoja Kilo 25 za Mchele, Kilo 20 za Sukari na
Lita 10 za Mafuta ya kupikia. |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni :
Chapisha Maoni