ONA UFINYO WA BARABARA YA MWENDOKASI ULIVYOLETA USUMBUFU BAADA YA BASI KUHARIBIKA
Basi la mwendokasi limeharibika kituo cha shekilango Na kufunga njia yake hivyo kulazimisha mabasi mengine kupita barabara ya kawaida Na kuongeza kero . Inaonekana wameshindwa hata kuulivuta kulisogeza usawa wa kituo ili yapishane. Kama basi moja linaleta kero hivi sijui yakianza kuzima double double itakuwaje
0 maoni :
Chapisha Maoni