SERIKALI I
"Serikali imeweka dira itakayowawezesha wasichana kuendelea na masomo baada ya kujifungua huku wale waliowapa mimba, wakishughulikiwa kikamilifu." Paulina Mkonongo, Mkurugenzi wa Elimu ya Sekondari, Wizara ya Elimu - 01 Disemba 2015.
_______________________________
SERIKALI II
"Serikali imeamua kuwa wanafunzi wa kike wanaopata mimba wakiwa shuleni
wasifukuzwe, bali waendelee na masomo." Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya,
akiwa Chuo kikuu kishiriki cha UDSM cha Elimu (DUCE), 27 Aprili 2017.________________________________
SERIKALI III
________________________________
SERIKALI IV
Chanzo: Jamii Forum________________________________
0 maoni :
Chapisha Maoni