Mbunge
wa Mtama kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ametoa
gari jipya la kubeba wagonjwa kwa wananchi wa Jimboni kwake Mtama. Ikiwa
ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi alizotoa wakati wa uchaguzi.
"Niliahidi nimetekeleza, gari jipya la wagonjwa kwa Tarafa ya
Nyangamara Jimboni Mtama". ameandika Nape katika ukurasa wake wa
Twitter.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni :
Chapisha Maoni