
Mzee Francis Maige Ngosha anaishi maisha duni yasiyoendana na mchango wake aliotoa kwa taifa kabla na baada ya kupata uhuru ambapo anaishi kwa kuomba msaada wa kujikimu.
Mzee huyu anaishi Buguruni kama sikusika vibaya.
Chanzo: ITV
Hongereni sana ITV maana hii ndio moja ya kazi za vyombo vya habari.
Asante kwa taarifa nadhani wahusika wamesikia watamsaidia.hivi anawatoto?nao wasaidiwe
JibuFuta