Wanaume maskini kuzuiwa kuoa wake wengi Nigeria,
Pendekezo hilo lenye utata lilitolewa na Muhammad Sanusi II, ambaye ni Emir wa Kano, kuhakisha kuwa wanaume wana familia ambazo wanaweza kuzitunza.Tangu aingie madarakani mwaka 2014, Emir Muhammad Sanusi II, amekuwa akitoa mapendekezo mengi yenye utata ambapo amepinga misimamo mingi ya kitamaduni.
Source: Swahili BBC London
0 maoni :
Chapisha Maoni