Kijana aliyemea mkia afanyiwa upasuaji India,
Yeye na familia yake kutoka Nagpur nchini India walifanya swala hilo kua siri kwa sababu walikuwa na wasiwasi angechokozwa na wenzake.
Sasa wanataka kuonana na daktari baada ya mkia huo kuendelea kumea mfupa ndani yake.
Mkia huo unadaiwa kuwa mrefu kuwahi kutokea kwa mwanadamu ijapokuwa visa kama hivyo ni vichache.
![]() |
Mkia huo una urefu wa sentimita 20 |
Madaktari wanasema kuwa kijana huyo huenda alimea mkia huo ndani ya tumbo la mamake kutokana na kasoro ya uti wa mgongo,lakini ukaonekana nje baada ya kijana huyo kuwa mkubwa.
Source: Jamii Forum
0 maoni :
Chapisha Maoni