Kufuatia mmiliki wa hotel kubwa iliyojengwa miaka michache iliyopita pande za mwenge jijini Dar
es salaam kushindwa kulipa mkopo wake wa mabilioni ya Pesa aliyokopa ,
beki hiyo imechukua hatua za Kupiga "for sale" kwa Kupiga mnada hotel
hiyo iliyokuwa ya kifahari kwa kutumia idihini halali ya mahakama baada ya mmiliki wake kushindwa kurejesha mkopo alikuwa kukopa.
Pamoja na kupigwa mnada na hotel kununuliwa na kibopa mwingine, mmiliki
wa awali wa hotel hiyo alishindwa kutoa taarifa za awali na za kueleweka
kwa wanafunzi mbali mbali wa chuo na wapangaji wengine walikuwa
wakiishi katika mengi hilo hali iliyopelekea kutolewa vitu vyao nje na
kampuni ya madalali walikuwa wamepewa kandarasi na mahakama.
TAMAL HOTEL
Hilo ni funzo kwetu kuwa, mikopo bila mipango ni majanga matupu, tujifunze sana kuwa mipango
endelevu "sustainable planning " kwa mambo.mbali.mbali maana hilo hotel
ukiliona kwa nje unaweza sema hivi mwenye nalo anajua hata kama kuna
jero ya coin?? Maana ni ya kishua kinoma.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni :
Chapisha Maoni